Sera ya Usafirishaji

  • Bidhaa zinasafirishwa kutoka ghala letu jijini Dar es Salaam

  • Tunatoa huduma ya usafirishaji kwa wateja wote nchini Tanzania

  • Agizo lako litafika ndani ya saa 24 hadi 48

  • Unalipa wakati unapokea bidhaa (Cash on Delivery)

  • Utapokea ujumbe au simu ya kuthibitisha oda kabla ya kuwasilishwa